CHEKI HAPA HABARI PICHA JUU MATUKIO MBALIMBALI YANAYOHUSU WAFUGAJI NCHINI TANZANIA

Vijana wa jamii ya kimasai wakizungumza na wanahabari mkoani Arusha hivi kartibuni juu utetezi wa haki ya jamii za kifugaji katika wilaya za Simanjiro, Ngorongoro na Longido 

Wafugaji wa jamii ya kimasai wakisikiliza kwa makini hotuba ya Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa hivi karibuni katika ukumbi wa NCAA


 

Comments